Karibu i - Hub

Incubation Hub (i-Hub) ni uvumbuzi mahiri na wenye ari ya kiteknolojia unaolenga kutengeneza maelefu ya ajira na fursa endelevu za kibiashara kwaajili ya watu barani Afrika kupitia utekelezwaji wa mipango ya kijasiriamali maalum kwa jamii.

Kipindi cha awamu ya kwanza ya i-Hub, THIG pamoja na wadau mbali mbali, wanalenga kutengeneza ufanisi na fursa zinazoshikikika kwaajili ya watu mbalimbali, tukilenga hasa katika sekta ya Kilimo, Usafirishaji, Mali zisizo hamishika (Real Estate) na Mitindo.

i-Hub inavuvia ukuaji endelevu na wenye faida kwenye uwekezaji wa kilimo katika miji na vijiji barani Afrika kupitia juhudi za uhusiano wa kiteknolojia wa hapo kwa hapo kati ya wakulima, wamiliki ardhi, wataalamu wa kilimo, wagawaji pembejeo, wasimamizi wa miradi, vibarua, wasafirishaji, wasambazaji, mawakala wa mauzo, mawakala wa uuzaji bidhaa nje pamoja na SME za sekta ya kilimo.

Inavyofanya kazi

i-Hub imewekwa kwenye majukwaa tofauti ili kuwezesha watumiaji wa aina zote nchini walio na wasio na muunganiko wa intaneti kufurahia manufaa wa mradi huu.
Watumiaji wanaweza kufurahia mema ya i-Hub kupitia mikondo ifuatayo;-

Kupitia tovuti

Kwa kupiga simu

Kupitia App ya simu ya mkononi

Kwa kupiga namba fupi maalum

Jiunge na i-Hub kama:

Land-Owner

Mmiliki ardhi

thig_harvester

Mvunaji

Farmer-Specialist

Mkulima/Mtaalamu

thig_transporter

Msafirishaji

thig_supplier

Msambazaji

thig_sales

Wakala wa mauzo

thig_Manager

Msimamizi wa shamba/mradi

thig_sme

SME za biashara ya kilimo

Je wewe ni mdau wa sekta ya kilimo na sekta zinginezo?

Jiunge na i-Hub leo

Msaada? Ongea Nasi