Marejesho

Sera yetu inadumu kwa siku 30. Kama siku 30 zimepita tangu kununua huduma, kwa bahati mbaya, hatutaweza kukurudishia fedha wala kubadili ulichonunua.

Kuweza kukidhi vigezo vya marejesho au kurudishia, kitu ulichonunua kisiwe kimetumika na kiwe katika hali ile ile ya ulivyokipokea.

Aina kadhaa za huduma hazirudishiki. Kurudisha fedha taslimu baada ya kuziingiza kwenye mradi wetu wowote. Bidhaa zinazoharibika haraka kama chakula, maua, magazeti au majarida haziwezi kurudishwa.

Pia hatukubali bidhaa za usafi wa mwili, rasilimali hatari na gesi au viminika vinavyowaka moto.

Kama ilivyowekwa kwenye majukwaa na akaunti zetu za mitandao ya kijamii kwamba mara kwa mara uwekezaji salama wa huduma zilizonunuliwa zina maombi yanayohusisha sera za bima kutoka kwenye kampuni zinazosifika, hii haimhakikishii mwekezaji au mtumiaji mwingine yoyote wa huduma zetu kurejeshewa mawekezo yake au huduma iliyonunuliwa kutoka kwetu, kwenye kupotea, kuharibika, kuumia au matukio mengine yasiyotabirika kama ilivyowekwa kwenye Masharti ya huduma au itategemea mipaka na vigezo na masharti ya sera zinazotumika kuongoza kampuni za sera ya bima. Unashauriwa kila mara kulinda mawekezo yako kwa kuomba ulinzi wa mawekezo kwa kampuni yoyote inahusika na bima kila mara unapowekeza nasi.

Kukamilisha mrejesho wako , tutahitaji risiti au uthibitisho wa manunuzi.

Tafadhali usirudishe bidhaa uliyonunua kwa mtengenezaji, au mletaji huduma wa tatu.

Kuna dharura ambazo sehemu ya marejesho hutolewa kama: (kama infaa).

  • Bidhaa yoyote haiko kwenye hali yake ya asili, imeharibika au inapelea vitu,bila sisi kusababisha.
  • Bidhaa yoyote ikirudishwa baada ya siku 30 za kumfikia mteja.

Kurudishiwa fedha (kama unastahili)

Mara mrejesho wako unapopokelewa na kukaguliwa, tutakutumia barua pepe, ujumbe mfupi wa maneno au kukupigia ili kukujulisha kwamba tumepokea bidhaa uliyorudisha. Pia tutakujulisha kukubalika au kukataliwa kwa ombi lako la kurudishiwa fedha.

Kama utakubaliwa, ndipo marejesho yako yatafanyiwa kazi na pesa zitawekwa moja kwa moja kwenye kadi yako au njia ya awali ya malipo, ndani ya kipindi cha siku kadhaa.

Marejesho yasiyoonekana au kuchelewa;

Kama bado hujapokea marejesho yako, kwanza angalia tena akaunti yako ya benki.

Ndipo wasiliana na kampuni ya kadi ya fedha, inaweza kuchukua muda kabla ya hela kukufikia rasmi.

Kisha wasiliana na benki yako. Wakati mwingi kunakuwa na kipindi fulani cha kushughulikia kabla ya kuweka pesa zako.

Kama umefanya yote haya na bado hujapokea hela yako, tafadhali wasiliana nasi kupitia claims@thigafrica.com

Bidhaa zenye punguzo la bei (Kama unastahili)

Bidhaa zenye bei za kila siku tu ndiyo zitakazorudishiwa pesa, kwa bahati mbaya bidhaa zilizoko kwenye punguzo la bei hazirudishiki.

Tunabadilisha bidhaa zenye kuharibika au hitilafu. Kama unahitaji kubadilishiwa ili upate bidhaa sawa na uliyonayo, tuandikie barua na utume kwenda return@thigafrica.com na utume bidhaa yako kwenda: Transformation Hub Investment Group, Kampala, Uganda.

Zawadi

Kama bidhaa iliandikwa kama zawadi wakati wa kununua na ikasafirirshwa moja kwa moja kwako, utapokea faida ya zawadi kwa thamani ya marejesho yako. Mara bidhaa iliyorudishwa inapopokelewa, hati ya zawadi inatumwa kwako.

Kama bidhaa haikuandikwa kama zawadi wakati wa kununua, au mtoa Zawadi aliisafirisha kwake ili akupe baadae, tutatuma fidia kwake na atajua kuwa umerudisha.

Usafirishaji

Kurudisha bidhaa, itume kwenda: Transformation Hub Investment Group, Kampala, Uganda.

Utawajibika kulipa gharama zako za usafirishaji mwenyewe wakati wa kurudisha bidhaa. Gharama za usafirishaji hazina fidia. Kama ukipokea fidia, gharama hizo zitakatwa kutoka kwenye fidia hiyo.

Kutegemeana na unapoishi, muda bidhaa iliyobadilishwa itakaochukua kukufikia utatofautiana.

Kama unasafirisha bidhaa yenye bei juu ya USD 75, ni vema kutumia huduma ya usafirisha inayofuatilika au kununua bima ya usafirishaji. Hatukuhakikishii kwamba tutapokea bidhaa yako iliyorudishwa.

Msaada? Ongea Nasi