Karibu Sarafu

Sarafu’ inamaanisha fedha kwa lugha ya Kiswahili.

Africa ni kitovu cha mawazo mapya na nia zenye uwezo na ustadi mkubwa. Utumiaji wa uwezo huo mara nyingi huzuiwa na kukosekana kwa fedha. Mwishowe, uwezo mkuu na mawazo yanayoweza kubadilisha maisha havipati fursa ya kutendewa kazi.

Katika pendekezo la kufungua uwezekano huo na kuanzisha maendelo ya kijamii ya kudumu, tuliunda Sarafu; jukwa la kipekee la mikopo linalowezesha maelfu ya wafanyakazi Afrika kupata huduma za papo hapo za mikopo, ambazo ni ngumu kupata kwenye mabenki kutokana na kutokidhi masharti.

Pia, uvumbuzi huu wa kisasa unasaidia upatikanaji wa mitaji ya kujiendeshea kwa zaidi ya SME milioni 2 kote barani Afrika ili kuwezesha shughuli za kila siku za kibiashara hivyo kuzidisha ukuaji wa biashara zao.

Je, unatamani mfumo rahisi wa kifedha?

Jiunge na Sarafu leo.

Msaada? Ongea Nasi